
Mwanamke Celina akikabiliana na changamoto kubwa ya kuwahudumia watoto wake 12 wakati hana kitu chochote hasa fedha, alipata mwanga wa matumaini kupitia njia ambayo haikutarajiwa, ni baada ya kushinda zabuni serikalini.
Hata hivyo, nini siri ya mafanikio yake?, Iliyomuondoa katika lindi kubwa la umaskini ambalo limetafuna na kudhohofisha maisha yake kwa miaka mingi.
Social Plugin