Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

EX WANGU ALIVYOKWAMISHA KUOLEWA!

Jina langu ni Mage kutokea Arusha, ni mwajiriwa katika kampuni fulani ya utalii, ninaishi na mume wangu na mtoto wetu mmoja wa kiume lakini hadi kufikia hatua ya kuanza kuishi pamoja ilikuwa sio kazi rahisi. 

Nasema hivi kwa sababu mwanzo wa mapenzi yetu tulikuwa tunapendana sana, lakini kuna kipindi ilitokea ishu tukagombana sana na mawasiliano yakawa hafifu na hakuwa akinitafuta tena. 

Siku moja nilimtafuta nikamwambia na shida na wewe akakubali tuongee. Nikamuelekeza kuwa kuna mwanaume alikuwa anataka kunioa, lakini yeye akaniambia nisiolewe kwa maana bado ananipenda sana. 

Kusema kweli nilipomuambia jambo lile aliniomba sana nisiolewe. Nikakubali, baada ya muda akaniambia tuzae sasa nikakubali lakini zikawa kama stori fulanii maana nilikuwa siko tayari kuzaa naye kwa wakati ule. 

Basi maisha yakaendelea na mipango ya ndoa ikafa na tukarudisha mapenzi yetu. Sasa baada ya kama miezi sita hivi nilipima mimba ikaonesha ipo lakini sikumwambia maana nikajua ni kawaida tu.

Sasa siku niliamka tumbo linaniuma sana, Dada yangu akaniambia twende Hospitali tukacheki kwenye vipimo vya uhakika zaidi, basi tukaenda kupima kipimo cha mkojo kikaonesha nina ujauzito. 

Basi nikampigia mpenzi wangu kumwambia kilichotokea maana yeye yupo mkoani mimi niko Arusha lakini le kumpa majibu, jamani alichonijibu kiliniumiza sana hadi nikaishia nguvu. 

Alisema nitoe hiyo mimba kama stakii basi nitajua mimi mwenywe, kisha akaniblock WhatsApp, baadaye akanipigia akanambia ana mtu wake na wanapendana sana, kwahiyo nimtoe kwenye maisha yake kabisa.

Kusema kweli niliumia sana ila nashukuru Dada yangu alikuwa karibu yangu katika kipindi chote, na ndiye aliyeweza kunivusha katika jaribu hilo baada ya kunishauri niende kwa Dr Bokko ambaye anasuluhisha matatizo ya kimahusiano. 

Dada alinipa namba za Dr Bokko ambazo ni +255618536050 na kuwasiliana naye na kumueleza shida yangu, basi alinifanyia dawa zake na kunihakikishia kila kitu kitakaa sawa kabisa. 

Hazikupita hata siku mbili, yule mpenzi wangu alinipigia simu na kuniomba msamaha na kutaka tuendelee na mahusiano yetu, nilifurahi sana kwa yeye kurudi kwangu na hadi sasa tupo pamoja na huyu mtoto wetu. 

Mwisho. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com