Video Mpya Kali Kinoma!! NG'WANA KANG'WA - TABASAMU


Ng'wana Kang'wa anakualika kutazama video  ya wimbo wake mpya unaitwa TABASAMU!! Bonge la ngoma mtu wangu!! Usiache kutabasamu hata kama una matatizo mengi kiasi gani

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post