Picha : MAKONDA AFANYA MKUTANO MKUBWA SHINYANGA MJINI, MACHIFU WAMSIMIKA CHEO CHA 'NSUMBA NTALE'

Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda baada ya kuvalishwa mavazi ya kimila na kukabidhiwa silaha za kimila wakati akisimikwa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu).

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amefanya ziara katika Manispaa ya Shinyanga ambapo amezungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga huku akisikiliza na kutatua kero za wananchi.

Akiwa Mjini Shinyanga baada ya kuwasili akiwa amepanda kwenye Lori leo Jumapili Januari 28,2024 katika mkutano mkubwa uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Town, Paul Makonda amepewa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu) na Machifu wa Kabila la Wasukuma Mkoa wa Shinyanga wakitambua majukumu mazito (ya kijana huyo) aliyopewa kumsaidia Chifu Hangaya (Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan).

Hali kadhalika Makonda amezindua rasmi Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga ambayo yataadhimishwa kila kata.

Pia Makonda amepokea Shilingi Milioni 2 zilizotolewa na Wananchi wa Shinyanga kwa ajili ya kumchangia Dkt. Samia Suluhu Hassan achukue fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Mwandishi Mkuu wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde ametusogezea picha za Matukio mbalimbali yaliyojiri… 

Tazama hapa chini
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akiwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Town Mjini Shinyanga akiwa amepanda kwenye Lori leo Jumapili Januari 28,2024. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akiwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Town Mjini Shinyanga akiwa amepanda kwenye Lori leo Jumapili Januari 28,2024. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi 

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa akizungumza kwenye mkutano huo
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akivalishwa mavazi ya kimila na kukabidhiwa silaha za kimila wakati akisimikwa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu).
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akivalishwa mavazi ya kimila na kukabidhiwa silaha za kimila wakati akisimikwa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu).
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akivalishwa mavazi ya kimila na kukabidhiwa silaha za kimila wakati akisimikwa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu).
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda baada ya kuvalishwa mavazi ya kimila na kukabidhiwa silaha za kimila wakati akisimikwa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu).
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda baada ya kuvalishwa mavazi ya kimila na kukabidhiwa silaha za kimila wakati akisimikwa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu).
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda baada ya kuvalishwa mavazi ya kimila na kukabidhiwa silaha za kimila wakati akisimikwa cheo cha Nsumba Ntale (Kijana Mkuu).
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akiwahutubia wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga na kusikiliza na kutatua kero za wananchi

Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akiwahutubia wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga na kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda akiwahutubia wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga na kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akimkabidhi Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda Shilingi Milioni 2 zilizotolewa na Wananchi wa Shinyanga kwa ajili ya kumchangia Dkt. Samia Suluhu Hassan achukue fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda Shilingi Milioni 2 akipokea zilizotolewa na Wananchi wa Shinyanga kwa ajili ya kumchangia Dkt. Samia Suluhu Hassan achukue fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda Shilingi Milioni 2 akionesha zilizotolewa na Wananchi wa Shinyanga kwa ajili ya kumchangia Dkt. Samia Suluhu Hassan achukue fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akizungumza wakati wa mkutano huo.

Wananchi wakifuatilia mkutano wa Katibu wa NEC,Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda katika uwanja wa Shule ya Msingi Town Mjini Shinyanga.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments