MERIDIANBET YAWAFIKIA WAKAZI WA KIJITONYAMA



Meridianbet wanaendelea walipoishia na leo wameigusa jamii inayowazunguka tena kwa namna moja ama nyingine, Ambapo leo wamefika kwenye Zahanati inayopatikana Kijitonyama kwajili ya kutoa vifaa vya usafi na vifaa vitavyowasaidia Wamama wajawazito wanaofika hospitalini hapo.

Wababe hao wa michezo ya kubahatisha wameeleza kua lengo lao kubwa la kutoa vifaa hivyo Hospitalini hapo ni kuhakikisha mazingira ya usafi yanakua sawa, Kwani eneo la hospitali ni moja ya maeneo muhimu zaidi kua masafi na kwakua ni sehemu ya kutibu watu na sio sehemu ya watu kupatia maradhi

Kiukweli jambo hili limekua na tija kwa kampuni na hata jamii kwa ujumla kwani mara kadhaa sehemu ambazo kampuni hiyo bora ya michezo ya kubashiri inapotoa msaada, Kwani mabadiliko hua yanaonekana na hii inaendelea kuwapa nguvu Meridianbet ya kurudisha kwenye jamii yake.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Igram ndie aliyeratibu tukio zima la utoaji wa vifaa hivyo hospitalini hapo na aliweza kuzungumza kwa uchache kwa niaba ya taasisi “Kwanza kabisa nipe kuwashukuru uongozi wa Zahanati hii kwa kutupokea kwa ukaribu kabisa, Lakini pia kama Meridianbet tunayo furaha kufika hapa na kutoa vifaa hivi ambavyo tunaamini vitaimarisha usafi hapa lakini vitawasaidia Mama wajawzito watakaofika hapa”.

 

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Mbali na Muwakilishi wa Meridianbet kuzungumza lakini pia muwakilishi wa Zahanati hiyo anayefahamika kwa jina la Beatrice Sangiwa ameishukuru sana Meridianbet na kuwataka makampuni mengine kuiga mfano kwa kampuni hiyo "Naishukuru sana Meridianbet kwa msaada huu kwani utaenda kumsaidia mama mjamzito wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua, huu ni mfano wa kuigwa kwa makampuni mengine"


Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post