WAZIRI JAFO AKOSHWA NA BOND YA KIJANI YA BENKI YA CRDB


Meneja wa Biashara wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Ndg. Anselm Mwenda akimweleza  Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. Selemani Jafo kuwa Bond ya Kijani ya CRDB ni uwekezaji ambao unalenga kukabiliana na hali ya tabia ya nchi na utunzaji wa Mazingira. 

Kiwango cha chini ni Tsh 500,000/= ambapo mteja akiwekeza atavuna faida ya 10.25% ya kiasi alichowekeza. 

Waziri Jafo alifurahi na kuipongeza sana benki ya CRDB kwa mikakati mbalimbali ya kimazingira ikiwemo bidhaaa mpya ambayo Benki CRDB wameizindua hivi karibuni ya KIJANI BOND na kikubwa ameitaka benki sasa kuendelea kutoa elimu kwa watanzania ili waweze changamkia fursa hii.
Meneja wa Biashara Kanda ya Magharibi Ng. Anselm Mwenda akiwasilisha mbele ya Waziri Jafo jana mambo makubwa ambayo benki imefanya na huduma zilizopo katika Benki ya CRDB kwenye maonesho ya madini mkoani Geita wakati Mh. Waziri alipotembelea banda hilo.
Meneja wa Biashara Kanda ya Magharibi Ng. Anselm Mwenda akiwasilisha mbele ya Waziri Jafo jana mambo makubwa ambayo benki imefanya na huduma zilipo Benki ya CRDB kwenye maonyesho ya madini mkoani Geita wakati Mh. Waziri ametembelea banda hilo.
Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. Selemani Jafo akiongea alipotembelea banda la Benki la CRDB jana mkoani Geita
Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. Selemani Jafo akiongea alipotembelea banda la Benki la CRDB jana mkoani Geita

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post