Picha ; RAIS SAMIA AKITETA JAMBO NA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo mara baada ya kufunga Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani tarehe 27 Agosti, 2023.






Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post