MKUU WA CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KAHAMA ANAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO 2023/2024

 

Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kahama Mkoa wa Shinyanga anawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2023/2024


Katika kozi za:

💢 Clinical Medicine / Utabibu

Vigezo vya kusoma kozi hii ni ufaulu wa kuanzia alama D nne ikiwemo Fizikia, Kemia na Biolojia

💢  Pharmaceutical Sciences / Famasi

Vigezo vya kusoma kozi hii ni ufaulu wa kuanzia alama D nne ikiwemo Kemia na Biolojia


💢  Social Work / Ustawi wa Jamii

Vigezo vya kusoma kozi hii ni ufaulu wa kuanzia alama D nne katika masomo yeyote isipokuwa masomo ya dini


💢  Community Development / Maendeleo ya Jamii

Vigezo ni ufaulu wa kuanzia alama D nne katika masomo yeyote isipokuwa masomo ya dini


Chuo kinatoa huduma ya hostel bure kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza

Ada zetu ni nafuu na hulipwa kidogo kidogo

Tunatoa ofa ya udahili bure kwa wanafunzi watakaowahi kupiga simu chuoni kuomba kudahiliwa


Tembelea tovuti yetu: www.kachs.ac.tz

Kwa maelezo zaidi na kusajiriwa chuoni tupigie kwa simu namba 0766 640 531 au 0683 170 921


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post