Picha : WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA WATINGA BUNGENI DODOMA

Waandishi wa habari mkoani Shinyanga wamehudhuria kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mualiko wa Mbunge wa Viti maalum Mhe. Salome Makamba.

Wamehudhuria Bungeni Dodoma leo Mei 22,2023 na kushuhudia usomwaji wa Bajeti ya Wizara ya ujenzi na uchukuzi iliyosomwa na Waziri wa Wizara hiyo Prof. Makame Mbarawa.


Aidha,Wabunge wote wa Mkoani Shinyanga wameshirikiana kikamilifu na waandishi wa habari wa mkoa huo.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments