Kikao cha Kamati ya Ukaguzi na Hesabu za Umma (Committee on Audit and Public Accounts- CAPA) ya Bunge la Afrika (Pan - African Parliament -PAP) kikiendelea leo Ijumaa Machi 10,2023 Midrand Afrika Kusini ambapo wajumbe wa kamati hiyo wamejadili ripoti ya utendaji wa Bunge la Afrika kwa mwaka 2022. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
KAMATI YA UKAGUZI NA HESABU ZA UMMA 'CAPA' YAJADILI RIPOTI YA UTENDAJI WA BUNGE LA AFRIKA 2022
0
Post a Comment