YANGA SC YAENDELEA KUTESA, YAICHAPA KMC FC 1-0


NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

KLABU ya YAnga imeendelea kujiweka katika sehemu zuri kutetea taji lake la Ligi Kuu NBC mara baada ya kuinyuka KMC 1-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo Yanga Sc iliwapumzisha nyota wao waliocheza kwenye mechi ya Kimataifa akiwemo Mayele, Bangala, Moloko, Job, Lomalisa, Mudathir, Pamoja na Aucho.

Yanga sc ilianza kupata bao dakika ya 38 ya mchezo kupitia kwa nyota wao kinda Clement Mzize ambaye alianza na baadae kumposha Fiston Mayele kipindi cha pili kwenye mchezo huo.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

Post a Comment

Previous Post Next Post