SHEIKH ALIYENG'OLEWA AFUNGUKA 'KWANINI WAMENIONDOA SIJUI, NADHANI WATATAJA WAO'Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya Baraza katika nafasi nyingine.
-
Akizungumza na Clouds FM amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini sina sababu ya kukata rufaa. Ni maamuzi ya Baraza, ni chombo chetu tumekiweka na kina Mamlaka ya kufanya hivyo. Kwanini wameniondoa sijui, nadhani watatataja wao”

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments