BENKI YA CRDB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA SHINYANGA

 Kiongozi wa Mauzo na Oparesheni Benki ya CRDB tawi la Shinyanga, Lewis Temu akielezea huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumapili Januari 22,2023 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude (wa tatu kushoto)  kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kiongozi wa Mauzo na Oparesheni Benki ya CRDB tawi la Shinyanga, Lewis Temu akielezea huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumapili Januari 22,2023 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga.

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga akizungumza wakati akizindua Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumapili Januari 22,2023
Maafisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika banda la CRDB wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumapili Januari 22,2023 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga.
Maafisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika banda la CRDB wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumapili Januari 22,2023 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga.
Maafisa wa Benki ya CRDB  wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumapili Januari 22,2023 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude (aliyekaa katikati)  kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments