Siku moja nilikutana na
mama mtu mzima naye anaenda sehemu ninayoelekea, yule mama nilipanda naye gari
moja, konda akaanza kudai nauli
alipofika kwa yule mama kumbe hakuwa na fedha ya nauli.
Ghafla ugomvi ukaanza,
masikini yule mama alilalamika haoni walet yake, na pochi imechanika. Hata
hivyo, Konda akawa mkali, akimrushia yule mama maneno.Yule mama alikaa kimya,
kwa aibu na fedhea.
Konda akasema, utashukia
njiani , mama akasema, nitashuka hakuna shida. Konda akaendelea kukusanya kwa
wengine huku akimuita yule mama Tapeli.
Watu wengi waliongea, na
kusema kuwa matapeli wamekuwa wengi siku hizi. Wengine walimtetea yule mama na
kusema konda amsamehe. Yule mama, akasema nimeibiwa jamani, na simu yangu pia
siioni ndio maana nakuwa mpole. Watu wakazidi kulumbana.
Konda akafika kwangu,
nikamwambia nalipa na ya yule mama. Akaropoka “mama kuna mtu kakuokoa” basi
yule mama akakaa kimya. Tulipofika Mlimani City, tukashuka. Yule mama akaja
akaniambia “Asante mwanangu”.
Akaendelea kusema, mwanangu
nimeibiwa vitu vyangu pamoja na simu pia. Sijui vimechukuliwa saa ngapi.
Nilikuwa na lengo la kuja kumnunulia mwanangu viatu na madaftari anaenda shule
wiki ijayo.
Pamoja na kupata wasiwasi
na moyo kusitasita, bado huruma ilinijaa baada ya kusikia yaliyomkuta mama
yule. Naelewa jinsi wazazi wanavyopambana kwa ajili ya watoto. Mimi
nilishuhudia wazazi wakiuza mali zao nisome. Hivyo nilielewa.
Yule Mama akaniomba
nimkopeshe Tsh150,000 na akipata atanirudishia, nilisita lakini nikaamua kumpa,
akanipatia namba yake, akaniambia baada ya wiki mbili nimtafute.
Baada ya wiki mbili nikawa
kila nikipiga ile namba haipokelewi, baadaye akapokea nikamkumbusha akasema
hanijui nitakuwa nimekosea namba.
Nilichukia sana, nikachukua
simu nikampigia Dr. Kiwanga kwa namba yake hii +254 769404965, huyu amekuwa
akinisadia sana pale ambapo natapeliwa fedha au mali zangu. Nilizungumza naye
na akaniambia nitapata tu hizo fedha.
Asubuhi moja nikasikia
mlango unagongwa, kwenda kufungua ni yule mama amekuja analia, hawezi hata
kuongea, akanippa fedha zangu nikarudi ndani nikamuacha hapo nje. Sikujua ni
kipi hasa kilichompata.
Ukiachana na hilo, Dr.
Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika
michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro
kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.
Vile vile anatibu magonjwa
kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawasiliano
zaidi piga simu +254 769404965.
Mwisho.