MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa