RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA UJUMBE WA SHIRIKISHO LA WAFANYABIASHARA WA SEKTA BINAFSI KUTOKA NCHINI UFARANSA MEDEF
Monday, May 16, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka nchini Ufaransa MEDEF pamoja na Taasisi ya Business France, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.
Wajumbe mbalimbali kutoka Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka nchini Ufaransa MEDEF pamoja na Taasisi ya Business France wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2022.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin