MKUTANO WA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MAANDALIZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Mohamed Khamis Abdalah akifungua mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Mhe.Anna Makinda akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Kamisaa wa Sensa Tanzania Zanzibar Balozi Mohamed Hamza akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Kaimu Mtakwimu Mkuu wa Serikali Bi.Lucy Minja akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.Mhe.Gerson Msigwa akizungumza katika mkutano wa Wamiliki wa Vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Baadhi wa Miliki wa Vyombo vya Habari wakiwa kwenye mkutano kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na Makazi uliofanyika leo Mei 27,2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post