Post Top Ad
Tuesday, March 29, 2022
RAIS SAMIA AMTEUA ACI.HASSAN ALI HASSAN KUWA KAMSHNA WA UHAMIAJI ZANZIBAR
*****************************
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan, kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo ACI. Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
ACI. Hassan anachukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Author Details
Malunde 1 blog ni blog ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua.
No comments:
Post a Comment