RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KAMISHENI YA UMOJA WA ULAYA MHE. URSULA VON DER LEYEN, BRUSSELS NCHINI UBELGIJI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula von der Leyen, Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 18 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula von der Leyen, Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 18 Februari, 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post