MTANGAZAJI MAARUFU STEVE MCHONGI AFARIKI DUNIA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Monday, December 13, 2021

MTANGAZAJI MAARUFU STEVE MCHONGI AFARIKI DUNIATaarifa za kuaminika zilizotufikia hivi punde zinasema, Mtangazaji nyota wa vipindi vya michezo kutoka kituo cha Redio Free Afrika, Steve Moyo Mchongi amefariki dunia jioni ya leo Alhamisi, Januari 13, 2022.

Ndugu wa karibu wa marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba wa mtangazaji huyo nguli na kuahidi taarifa zaidi kutolewa baadae na familia.

Pumzika kwa amani Steve.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages