RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UCHIMBAJI MADINI NCHINI



 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia makabidhiano ya Hati mara baada ya tukio hilo la kusaini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia tukio la Utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni 4 za Uchimbaji wa Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments