Breaking

Post Top Ad

Tuesday, November 2, 2021

MWANAMKE ABAKWA HADI KUFA KISHA KUTUPWA KWENYE DAMPO IRINGAWatu wasiojulikana wamedaiwa kumbaka mwanamke mmoja hadi kufariki dunia na mwili wake kukutwa kwenye shimo la taka (dampo) katika Mtaa wa Mtwivila C uliopo Manispaa ya Iringa.

Mwili wa mwanamke huyo aliyetambuliwa kwa jina la Rehema Lukosi (57) mfanyabiashara maarufu wa mboga mboga na bagia kwenye mtaa huo umekutwa eneo la tukio na wapita njia waliokuwa wanapita asubuhi.

Chanzo - Mwananchi

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages