Breaking

Post Top Ad

Thursday, November 4, 2021

KAMPUNI YA AGRICOM AFRICA LTD YANOGESHA MASHINDANO YA SHIMIWI MKOANI MOROGORO,YAKABIDHIWA KOMBE LA HESHIMA YA UDHAMINI


Mwenyekiti WA SHIMIWI akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD kombe maalumu la mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa akikabidhi Kadi ya umiliki wa Trekta mkulima aliyenunua Trekta Kwa ofa maalumu ya kipindi cha michezo ya SHIMIWI yaliyomalizika Jana mjini Morogoro Chini ya udhamini wa Agricom Africa ltd
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa akizungumza jambo na Viongozi waandamizi wa Kampuni ya Agricom Africa ltd
Waziri Bashungwa,Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Martin Shigela pamoja na Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando, wakihakiki na kumkabidhi trekta mteja wa Agricom Africa ltd ambaye ndiye mdhamini mkuu wa SHIMIWI
Waziri Bashungwa akiwasha trekta alilonunua mkulima wa Dakawa kutokea Agricom Africa ltd wakati wa mashindano ya SHIMIW,ambapo Agricom Africa ltd ndiye mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka 2021.
Mwenyekiti WA SHIMIWI akimvisha Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD medali maalumu ya mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro.
Baadhi yawafanyakazi wa Agricom Africa wakiwa na baadhi ya Wateja waliofika kununua Zana za kilimo kwenye mashindano ya wizara zote za serikali SHIMIWI.yalifanyika mjini Morogoro.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages