Breaking

Post Top Ad

Wednesday, October 13, 2021

MAJALIWA AZURU KABURI LA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye kaburi la marehemu, wilayani Chato, Mkoani Geita, Oktoba 12, 2021. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti  ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages