GGML KUKARABATI BOTI YA MATIBABU GEITA, KAGERA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, October 6, 2021

GGML KUKARABATI BOTI YA MATIBABU GEITA, KAGERA

  Malunde       Wednesday, October 6, 2021
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Magongo Justus John (wa kwanza kushoto), Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Tanzania, Mchungaji Mussa Magwesela (wa pili kutoka kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Richard Jordinson (wa kwanza kulia) wakitia saini hati ya makubaliano ya miaka matano ya ukarabati wa boti ya matibabu ambayo itatumika kuokoa maisha ya watu wengi walio katika mazingira magumu kwenye Visiwa vya Victoria mkoani Kagera na Geita.
Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Tanzania, Mchungaji Mussa Magwesela (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Richard Jordinson (kulia) wakitia saini hati ya makubaliano ya miaka matano ya ukarabati wa boti ya matibabu ambayo itatumika kuokoa maisha ya watu wengi walio katika mazingira magumu kwenye Visiwa vya Victoria mkoani Kagera na Geita.
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Faustin Kamuzora akielezea namna boti hiyo ya matibabu itavyotumika kuokoa maisha ya watu wengi walio katika mazingira magumu kwenye Visiwa vya Victoria mkoani Kagera na Geita.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Magongo Justus akitoa shukrani kwa kampuni ya GGML kutokana na mchango wake katika ukarabati wa boti hiyo ya matibabu.
 Baadhi ya wafanyakazi wa GGML akiwamo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Richard Jordinson (kulia) pamoja na watendaji wengine wa serikali kutoka mkoa wa Geita na Kagera wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Toba Nguvila akielezea namna wilaya hiyo itaimarisha ulinzi katika boti hiyo iliyokarabatiwa na GGML.
Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Tanzania, Mchungaji Mussa Magwesela akizungumzia katika hafla hiyo
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post