BASHE AKUTANA NA VYAMA VYA USHIRIKA KILIMANJARO KUTATUA MIGOGORO YA MASHAMBA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, October 6, 2021

BASHE AKUTANA NA VYAMA VYA USHIRIKA KILIMANJARO KUTATUA MIGOGORO YA MASHAMBANaibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati aliposhiriki katika mkutano uliokutanisha wajumbe wa bodi za vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021, Kulia ni Mbunge wa jimbo la Hai Mhe.Saashisha Mafuwe .

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021.

Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akitoa taarifa ya kamati maalum iliyoundwa kufuatilia migogoro hiyo ili kupata utatuzi wake mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe.


Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akiwa katika kikao hicho na Mkuu wa wilaya Mwanga Ndg. Thompson Mwan'onda wakati mkutano huo ulipokuwa ukiendelea.


Mmoja wa wanachama wa vyama hivyo vya ushirika Mkoani Kilimanjaro akichangia maoni yake wakati kikao hicho kikiendelea.


Picha mbalimbali zikionesha baadhi ya wanachama na wajumbe wa bodi za vyama vya ushirika mkoani Kilimanjaro wakishiriki Mkutano huo.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages