ASKOFU GWAJIMA , POLEPOLE, JERRY SLAA WAHOJIWA KAMATI YA MAADILI YA WABUNGE CCM | MALUNDE 1 BLOG

Friday, September 3, 2021

ASKOFU GWAJIMA , POLEPOLE, JERRY SLAA WAHOJIWA KAMATI YA MAADILI YA WABUNGE CCM

  Malunde       Friday, September 3, 2021

 Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM leo imewaita Dodoma kuwahoji Wabunge Jerry Silaa na Askofu Gwajima ambao Bunge lilipitisha azimio la kuwasimamisha mikutano miwili, ameonekana pia Mbunge Polepole akitoka kwenye mahojiano.

Askofu  Gwajima na Silaa wameitwa na kamati kwa agizo la Bunge, wakidaiwa kusema uongo na kushusha hadhi ya Bunge,   haikufahamika Polepole ameitwa kwa agizo la nani.

Baada ya kuhojiwa, Polepole aliongea kwa ufupi na waandishi wa habari akiwa ndani ya gari lake.... "Kikao cha maadili ni kikao cha ndani, kwa hiyo taarifa zote zitatoka kwa utaratibu wa chama, nawashukuru sana"Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post