CHARAHANI ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA USHETU - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Friday, September 10, 2021

CHARAHANI ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA USHETU
Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa imempitisha Emmanuel Charahani kuwa mgombea Ubunge jimbo la Ushetu katika uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa kufariki dunia.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages