RAIS MHE.SAMIA SULUHU APOKEA RIPOTI YA UCHAGUZI MKUU 2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2020 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage, katika halfla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 21,2021. Rais aliipongeza Tume kwa kuratibu na kusimamia uchaguzi huo Mkuu wa mwaka 2020 kwa ufanisi mkuu. (Picha na NEC).


Makamishna wa Tume na wageni mbalimbali waalikwa wakifutailia hafla ya kukabidhi ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 iliytokabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. (Picha na NEC).

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semestocles Kaijage akisoma taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. (Picha na NEC).

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semestocles Kaijage akisoma taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. Kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango. (Picha na NEC).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments