WANAFUNZI WAFUKUZWA SHULE BAADA KUIBA MBUZI WA MWALIMU MKUU | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, August 12, 2021

WANAFUNZI WAFUKUZWA SHULE BAADA KUIBA MBUZI WA MWALIMU MKUU

  Malunde       Thursday, August 12, 2021


 Usimamamizi wa Taasisi ya Kiufundi ya St. Bernadette mjini Novrongo katika eneo la kati mwa Ghana umesimamisha masomo ya wanafunzi wanne kwa muda baada ya wanafunzi hao kumuibia mwalimu mkuu wa shule yao kanga watano na mbuzi wawili.

 Uhalifu huo uliwapelekea wanafunzi hao ambao walikuwa katika mwaka wao mwisho, kufukuzwa shuleni.

 Kwa mujibu wa ripoti ya MyNewsGH, wanafunzi hao walinaswa baada ya msako kufanywa na kubainika kuwa tayari walikuwa wameandaa kitoweo cha wanyama hao. 

Wanafunzi hao walikamatwa lakini baadaye waliachiliwa kwa dhamana

. Kila mwanafunzi aliagizwa alipe faini ya KSh 9,000 kugharamia ujinga wao.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post