RAIS SAMIA KUZINDUA UTOAJI CHANJO YA CORONA TANZANIA...ATACHANJWA IKULU JULAI 28 | MALUNDE 1 BLOG

Monday, July 26, 2021

RAIS SAMIA KUZINDUA UTOAJI CHANJO YA CORONA TANZANIA...ATACHANJWA IKULU JULAI 28

  Malunde       Monday, July 26, 2021

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Doroth Gwajima amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya uzinduzi wa zoezi la uchanjaji wa chanjo ya Corona, Ikulu Jijini Dar es Salaam, Julai 28, 2021 saa 3 asubuhi ambapo Rais Samia atachanjwa.

Kupitia taarifa rasmi ya Wizara ya Afya, Dk. Gwajima amesema baada ya uzinduzi huo Wizara ya Afya itaendelea na taratibu nyingine za usambazaji wa chanjo hiyo na kutoa utaratibu wa utoaji wa chanjo katika vituo vilivyoandaliwa Mikoani.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post