JE? UNA MACHUNGWA, MANANASI, UKWAJU NA UBUYU?? JAMBO IMETANGAZA KUYANUNUA



TANGAZO

Hizi ni Habari njema kwa watu wote.

Kampuni ya Jambo Food Products ya Mjini Shinyanga
INATANGAZA KUWA KWASASA WAMEANZA KUNUNUA MANANASI,MACHUNGWA,UKWAJU NA UBUYU.

EWE MTEJA FIKA KIWANDANI MJINI SHINYANGA ILI UPATE MKATABA NA MWONGOZO KAMILI WA KUPELEKA MATUNDA.

KUMBUKA USILETE MATUNDA KABLA HUJAFIKA OFISINI NA KUPEWA MKATABA KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA  0622666692 au 0622666693.

Chagua kufanya kazi Nasi,Jambo Food Products JAMUKAYA....

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments