KAMPUNI YA JAMBO YATANGAZA KUANZA KUNUNUA MATUNDA YA MANANASI | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, July 3, 2021

KAMPUNI YA JAMBO YATANGAZA KUANZA KUNUNUA MATUNDA YA MANANASI

  Malunde       Saturday, July 3, 2021


 Habari njema kwa watu wote

Kampuni ya Jambo Food Product ya mjini Shinyanga inatangaza kuwa kwa sasa imeanza kununua MANANASI.

Ewe mteja fika katika kiwanda cha Jambo mjini Shinyanga ili upate mkataba na mwongozo kamili wa kupeleka mananasi.

Pia utaratibu wa kununua matunda mengine mtatarifiwa pindi watakapoanza kununua. 

Kumbuka usilete matunda kabla hujafika ofisini na kupewa mkataba.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0622666692 au 0622666693

Chagua kufanya kazi nasi, Jambo Food Product : JAMUKAYA!!Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post