DIAMOND PLATINUMZ KUWANIA TUZO ZA BET NCHINI MAREKANI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Friday, May 28, 2021

DIAMOND PLATINUMZ KUWANIA TUZO ZA BET NCHINI MAREKANI


Wasanii watatu wa Afrika wameteuliwa kuwania tuzo za BET nchini Marekani.Wasanii hao ni Diamond Platinumz , Wizkid na Burnaboy kutoka Nigeria pamoja na wasanii wa Ufaransa .

Burnaboy aliibuka mshindi wa orodha hiyo mwaka uliopita . Wasanii hao watawania tuzo ya mwanamuziki bora wa kimataifa.

Tuzo za BET zitafanyika tarehe 27 mwezi Juni na watu watahudhuria tamasha lake baada ya kufanyika kwa video mwaka uliopita kwasababu ya mlipuko wa virusi vya corona.


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages