Picha : RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021katika Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara, Philip Mangula, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021.
Viongozi wa Kidini, Viongozi Wakuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika ukumbi wa Mlimani City kabla ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam waliofika kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments