MAZISHI YA MKURUGENZI WA PRINCESS RECORDS 'CHIEF CHRISS' KUFANYIKA KESHO LALAGO MASWA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, May 14, 2021

MAZISHI YA MKURUGENZI WA PRINCESS RECORDS 'CHIEF CHRISS' KUFANYIKA KESHO LALAGO MASWA

  Malunde       Friday, May 14, 2021
Chief Chriss enzi za uhai wake
***
Mazishi ya Mwili wa Mkurugenzi wa Studio ya Princess Records, Christopher Joseph Mayenga maarufu Chief Chriss aliyefariki dunia Mei 12,2021 yanatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Mei 15,2021 mchana katika makaburi ya Mwandete Lalago wilayani Maswa mkoani Simiyu.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post