Picha : WAFANYAKAZI WA SHUWASA WASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU BUHANGIJA

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wameshiriki Futari ya pamoja na watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kuutukuza Mwezi Mtukufu wa Ramadhan  leo saa moja usiku Ijumaa Mei 7,2021. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga wakichukua Futari

Watoto wenye mahitaji maalumu (Watoto wenye ualbino, wasioona na viziwi) wanaolelewa katika kituo cha Buhangija Jumuishi Manispaa ya Shinyanga wakipata Futari

Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari
Wafanyakazi wa SHUWASA wakichukua Futari

Wafanyakazi wa SHUWASA wakipata Futari Mei 7,2021 saa moja usiku

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments