Picha : WANANCHI WA MWANZA WALIVYOAGA MWILI WA MAGUFULI

Wananchi wa Kirumba, Ghana, Kiloleli, Nyasaka, Buzuluga, Mabatini, Mwanza mjini, Igogo, Mkuyuni, Nyegezi, Mkolani, Buhongwa na Usagara wakiwa wamesimama barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza mara baada ya kuagwa katika uwanja wa CCM Kirumba leo tarehe 24 Machi 2021. Picha na Ikulu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments