Picha : WANANCHI KATORO,BUSERESERE,CHATO GEITA WATANDIKA NGUO, KANGA MWILI WA MAGUFULI UKIWASILI NYUMBANI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, March 24, 2021

Picha : WANANCHI KATORO,BUSERESERE,CHATO GEITA WATANDIKA NGUO, KANGA MWILI WA MAGUFULI UKIWASILI NYUMBANI

  Malunde       Wednesday, March 24, 2021
 
Wananchi wa Katoro Geita na Buseresere Chato wakiwa wamesimama barabarani huku wengine wakitandika kanga na nguo kama ishara ya Heshima ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipitishwa kuelekea Nyumbani kwake Chato leo tarehe 24 Machi 2021. Picha na Ikulu

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post