Wasanii wa nyimbo za asili Nyanda Bhetery na Misoji Isabujo kutoka Kahama mkoani Shinyanga wameomboleza kifo cha Aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wimbo walioupa jina la Tanzania Inalia...Tazama Video hapa
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako