'VIOLA DAY CARE CENTER' SHINYANGA NI KITUO BORA KABISA CHA KULELEA WATOTO...MLETE MWANAO NAFASI ZIPO

Malezi Bora ya mtoto huanzia utotoni mpaka utu uzima. Kufuatia mfumo wa sasa wa maisha ya u - busy Wazazi/walezi wamekuwa wakipata shida ifikapo katika Malezi ya watoto wenye umri chini ya miaka Mitano

 Wasaidizi wa kazi hawawezi kuwalea watoto wadogo ipasavyo  na wakati mwingine wanaleta usumbufu kwa kuacha kazi. 

Viola Day Care Center ndiyo suluhisho kwani tunao walezi waliosomea fani ya kulea watoto.

 TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:

👉🏻Elimu ya awali kwa watoto wadogo chini ya walezi waliobobea katika malezi na makini kabisa

👉🏻Kifungua kinywa

👉🏻Chakula cha mchana

👉🏻Mahali safi na salama pa kulala mchana

👉🏻Michezo

Mlete mwanao Viola Day Care Center ujionee utofauti.

 VIOLA DAY CARE CENTER IKO WAPI?

Viola Day Care Center ipo Ngokolo mkabala na Shule ya Msingi Bugoyi B Shinyanga Mjini 

Wasiliana nasi kwa simu namba:

0684 508 990 au 0672 553 831 

Usajili wa watoto umeanza Januari 4,2021 na Tunaendelea kupokea watoto 

Karibu Viola Day Care CenterNi Kituo Bora kabisa cha kulelea watoto wadogo chini ya miaka 5

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post