
Msanii wa Nyimbo za asili Ng'wana Ishudu kutoka Ihalo Luhumbo Shinyanga Vijijini amefungua mwaka 2021 kwa kuachia wimbo uitwao Manyanyaso kwa wanawake akitetea haki za wanawake katika jamii.
Sikiliza wimbo huu hapa chini
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako