IGP SIRRO AONYA VIKUNDI VILIVYOPANGA KUFANYA VURUGU ARUSHA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, October 25, 2020

IGP SIRRO AONYA VIKUNDI VILIVYOPANGA KUFANYA VURUGU ARUSHA

  Malunde       Sunday, October 25, 2020


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro amesema jeshi lake limepata taarifa za kuwepo kwa baadhi ya vikundi vichache katika Jiji la Arusha vyenye nia ya kuharibu amani siku ya uchaguzi na kutoa onyo kali kwa wote wenye mpango huo.

IGP Sirro ametoa kauli hiyo Jijini Arusha baada ya kuzungumza na askari polisi zaidi ya 700 watakaosimamia mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika nchini kote siku ya Jumatano Oktoba 28,2020.

Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi wa Mkoa wa Arusha kuendelea kuimarsha amani na utulivu siku hiyo ya uchaguzi.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post