DK. MWINYI AENDELEA KUISIMAMISHA ZANZIBAR AKISAKA KURA....'ICHAGUENI CCM KAMA MNATAKA AMANI,UMOJA NA MAENDELEO'

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia tiketi ya CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi anaendelea kuisimamisha Zanzibar katika safari ya Kufika kila eneo la Mzanzibar Kunadi Sera za CCM na Leo Jumatatu Oktoba 19 alikuwa Paje Wilaya ya Kusini Mkoani Unguja Kusini. Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo Mkubwa wa Kampeni.

#YajayoniNeematupu #Mwinyi2020.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments