MAGUFULI KUTIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU NNE....IJUMAA HII ANAANZA KUKIWASHA UWANJA WA MKAPA TEMEKE


Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli 
Kituo Kinachofuata ni Dar es Salaam. Ni Ijumaa Oktoba 09, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataendelea na Mikutano yake ya Kampeni za Kunadi Ilani ya CCM, Sera na Kuomba Kura Mkoani Dar es Salaam. Oktoba 9, 2020 atakuwa katika Uwanja wa Mkapa Temeke halafu Oktoba 12 atakuwa uwanja wa Kinyerezi Ilala na Oktoba 13,2020 atakuwa Ubungo uwanja wa EPZ kisha Oktoba 14,2020 ataunguruma uwanja wa Tanganyika Parkers Kawe Kinondoni .Dar es Salaam Baba Mwenye nyumba amefika. Unamkosaje Sasa?. #T2020JPM

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments