MAMA SAMIA AENDELEA NA ZIARA YA KUOMBA KURA ZA CCM MKOANI RUVUMA

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Madaba katika Kijiji cha Mtyangimbole na Limbuka kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Wilaya kijiji cha Limbuka Songea Mkoani Ruvuma
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Madaba Wilayani Songea wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Wilaya Kijiji cha Madaba Songea Mkoani Ruvuma leo Septemba 15,2020. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527