Angalia Picha : MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA MAELFU YA WANANCHI WA KALIUA TABORA


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kaliua mkoani Tabora katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. PICHA NA IKULU
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kaliua mkoani Tabora katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527