HII HAPA RATIBA YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CCM NAFASI ZA UBUNGE,UWAKILISHI,VITI MAALUM NA UDIWANI


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama hicho, Humprey Polepole kimetoa utaratibu na ratiba kamili itakayoohusisha mchakato wa uchukuaji fomu kwa wagombea wa udiwani/masheha na wabunge/wawakilishi kupitia tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020.


Utaratibu huo  umetolewa leo Jumatatu tarehe 13 Julai 2020 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527