MKURUGENZI TAKUKURU AMUONDOA BOSI ARUSHA ALIYEONYWA NA RAIS MAGUFULI

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Brigedia Jenerali John Mbungo,  amepangua vituo vya kazi vya maafisa sita wa taasisi hiyo.


Taarifa ya mabadiliko hayo imetolewa  Jumamosi tarehe 27 Juni 2020 na Doreen Kapwani, Afisa Uhusiano wa Takukuru.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post