Live : RAIS MAGUFULI AKIRUDISHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM
Anonymous-
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, arudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake cha (CCM) katika Ofisi ya CCM, White House Dodoma.
==>>Tazama hapo chini
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527